Makocha Wageni Wajaa Tanzania

Una Majina mengi sana huu Mchezo.Wengine tunauita Soka,Kandanda,Kabumbu nk.Lakini wewe tambua ni Mchezo wa Mpira wa Miguu,Mchezo ambao una matumizi makubwa ya Fedha. Katika kuhakikisha Mchezo huu unasonga mbele zaidi,ni lazima kwa upande wa Kifedha Timu iwe imejipanga ipasavyo kisawasawa.Pesa itatumika kila Eneo.Kusajili Wachezaji,Kuajiri Makocha,Kuajiri Madaktari wa Timu,Kuajiri Ma Afisa Habari wa Timu nk. Kama … Continue reading Makocha Wageni Wajaa Tanzania