Elimu Ya Fedha Na Uwekezaji

Madam Finance imeanzishwa kwa ajili ya kuwasaidia watanzania kutatua changamoto zinazotokana na Fedha kwa kutoa elimu na ushauri juu ya Fedha na Uwekezaji.

Kupitia elimu na ushauri tunawasaidia watanzania kubadilisha mitizamo juu ya fedha, kuwajibika, kuyakabili na kulipa madeni, kutunza fedha, kuwekeza na kuongeza kipato n.k.

70% ya wasiwasi tulionao ni kuhusu fedha, mafarakano na ugomvi mwingi kwenye familia, ndoa na urafiki unachangiwa na fedha, msongo wa mawazo, wivu, kukosa furaha na hisia nyingine hasi zinatokana na Fedha.

 Madam Finance imeanzishwa kwa ajili ya kuwasaidia watanzania kutatua changamoto zinazotokana na Fedha kwa kutoa elimu na ushauri juu ya Fedha na Uwekezaji.

Kupitia elimu na ushauri tunawasaidia watanzania kubadilisha mitizamo juu ya fedha, kuwajibika, kuyakabili na kulipa madeni, kutunza fedha, kuwekeza na kuongeza kipato n.k.

Mwishowe, Madam Finance inataka kuwaona watanzania wenye afya ya fedha, wenye kujitegemea, wenye kuzifikia na kuziishi ndoto zao na wenye kuishi maisha ya furaha.

Written by Madam Finance