Elimu Ya Fedha Na Uwekezaji

70% ya wasiwasi tulionao ni kuhusu fedha, mafarakano na ugomvi mwingi kwenye familia, ndoa na urafiki unachangiwa na fedha, msongo wa mawazo, wivu, kukosa furaha na hisia nyingine hasi zinatokana na Fedha.  Madam Finance imeanzishwa kwa ajili ya kuwasaidia watanzania kutatua changamoto zinazotokana na Fedha kwa kutoa elimu na ushauri juu ya Fedha na Uwekezaji. … Continue reading Elimu Ya Fedha Na Uwekezaji