Mwenyekiti wa Kamati ya tuzo za BMT Profesa Madundo Mtambo,amesema kuwa lengo ni kuwatambua na kuwaenzi wanamichezo na timu za Taifa zilizofanya vizuri katika mashindano ya Kimataifa.