TRIONDA YATAMBULISHWA KUWA MPIRA RASMI WA KOMBE LA DUNIA 2026

By Jamila kasimu Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kwa kushirikiana na Adidas limetambulisha rasmi mpira wa Kombe la Dunia 2026 unaojulikana kwa jina la TRIONDA, ambao utatumika katika michuano hiyo itakayofanyika kwa pamoja nchini Marekani, Mexico na Canada. Jina TRIONDA limetokana na maneno ya Kihispania “Tri” linalomaanisha nchi tatu wenyeji, na “Onda” … Continue reading TRIONDA YATAMBULISHWA KUWA MPIRA RASMI WA KOMBE LA DUNIA 2026